Deuteronomy 3:1

Kushindwa Kwa Ogu Mfalme Wa Bashani

(Hesabu 21:31-35)

1 aKisha tukageuka tukakwea kufuata njia iliyoelekea Bashani, Ogu mfalme wa Bashani akaondoka na jeshi lake lote kupigana na sisi huko Edrei.
Copyright information for SwhNEN